Yeremia 23:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Manabii na makuhani, wote hawamchi Mungu,uovu wao nimeuona hata nyumbani mwangu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Yeremia 23

Yeremia 23:10-17