Yeremia 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazama, mimi sasa napambana nanyi mnaoishi bondeni,mnaokaa kwenye mwamba wa tambarare,nyinyi mnaosema, ‘Nani atathubutu kutushambulia?Nani awezaye kuingia katika makazi yetu?’

Yeremia 21

Yeremia 21:12-14