Yeremia 21:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawaadhibu kadiri ya matendo yenu;mimi Mwenyezi-Mungu nasema.Nitawasha moto katika msitu wenunao utateketeza kila kitu kinachouzunguka.”

Yeremia 21

Yeremia 21:13-14