Yeremia 21:12 Biblia Habari Njema (BHN)

enyi jamaa ya Daudi! Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Tekelezeni haki tangu asubuhi,na kuwakomboa mikononi mwa wadhalimuwote walionyanganywa mali zao.La sivyo, hasira yangu itachomoza kama moto,itawaka na wala hakuna atakayeweza kuizima,kwa sababu ya matendo yenu maovu.

Yeremia 21

Yeremia 21:5-14