Mpaka lini nchi itaomboleza kwa ukame,na nyasi za mashamba yote kunyauka?Wanyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakazi wake;wanasema: “Mungu hataona mwisho wetu.”