Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu wanijua;wayathibiti maelekeo yangu kwako.Uwaokote hao kama kondoo wa kuchinjwa,watenge kwa ajili ya wakati wa kuuawa.