Kutoka 15:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo, Mose pamoja na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi-Mungu wimbo huu,“Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari,farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.

Kutoka 15

Kutoka 15:1-5