Kutoka 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu na uwezo,yeye mwenyewe ndiye anayeniokoa.Yeye ni Mungu wangu nami nitamsifu,ni Mungu wa baba yangu nami nitamtukuza.

Kutoka 15

Kutoka 15:1-9