Kumbukumbu La Sheria 33:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu, uzibariki nguvu zao,uzikubali kazi za mikono yao;uzivunjilie mbali nguvu za maadui zao,nguvu za wanaowachukia hata wasiinuke tena.”

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:10-15