Kumbukumbu La Sheria 33:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Na wawafundishe wazawa wa Yakobo maagizo yako;wawafundishe watu wa Israeli sheria yako.Walawi na wafukize ubani mbele yako,sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni pako.

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:1-18