Kumbukumbu La Sheria 33:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Juu ya kabila la Benyamini alisema:“Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu,nalo hukaa salama karibu naye.Yeye hulilinda mchana kutwa,na kukaa kati ya milima yake.”

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:2-18