Isaya 43:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu aliyewaumba enyi watu wa Yakobo,yeye aliyewafanya enyi watu wa Israeli, asema:“Msiogope, maana mimi nimewakomboa;nimewaita kwa jina nanyi ni wangu.

Isaya 43

Isaya 43:1-3