Isaya 43:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mkipita katika mafuriko,mimi nitakuwa pamoja nanyi;mkipita katika mito,haitawashinda nguvu.Mkitembea katika moto,hamtaunguzwa;mwali wa moto hautawaunguza.

Isaya 43

Isaya 43:1-9