Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Moabu.Mji wa Ari nchini Moabu umeangamizwa usiku;mji wa Kiri nchini Moabu umeteketezwa usiku.