Isaya 14:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo?Wataambiwa: Mwenyezi-Mungu ameijenga imara Siyoni,na maskini wa watu wake watakimbilia usalama huko.

Isaya 14

Isaya 14:25-32