Isaya 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Diboni wamepanda hekaluni, hadi mahali pa juu kuomboleza,watu wa Moabu wanalia kwa ajili ya Nebo na Medeba;vichwa vyote vimenyolewa upara,ndevu zao zote zimekatwa kabisa.

Isaya 15

Isaya 15:1-9