Sikilizeni neno hili,enyi wanawake ng'ombe wa Bashanimlioko huko mlimani Samaria;nyinyi mnaowaonea wanyonge,mnaowakandamiza maskini,na kuwaambia waume zenu:“Tuleteeni divai tunywe!”Sikilizeni ujumbe huu: