Nitaziharibu nyumba zote mjini na vijijini;nitazibomoa nyumba zilizopambwa kwa pembe,majumba makubwamakubwa hayatasalia hata moja.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”