Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu Mtakatifu nimeapa:“Tazama, siku zaja,ambapo watu watawakokoteni kwa kulabu,kila mmoja wenu kama samaki kwenye ndoana.