Zekaria 9:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake;atafyatua mishale yake kama umeme.Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta;atafika pamoja na kimbunga cha kusini.

Zekaria 9

Zekaria 9:13-17