Zekaria 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawalinda watu wake,nao watawaangamiza maadui zao.Watapiga kelele vitani kama waleviwataimwaga damu ya maadui zao.Itatiririka kama damu ya tambikoiliyomiminwa madhabahuni kutoka bakulini.

Zekaria 9

Zekaria 9:6-17