Zekaria 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Yuda nitamtumia kama uta wangu;Efraimu nimemfanya mshale wangu.Ee Siyoni! Watu wako nitawatumia kama upangakuwashambulia watu wa Ugiriki;watakuwa kama upanga wa shujaa.”

Zekaria 9

Zekaria 9:10-17