Zekaria 10:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Yuda watakuwa kama mashujaa vitaniwatawakanyaga maadui zao katika tope njiani.Watapigana kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo pamoja nao;nao watawaaibisha hata wapandafarasi.

Zekaria 10

Zekaria 10:1-6