Zekaria 10:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa ukoo wa Yuda kutatokea:Watawala wa kila namna,viongozi imara kama jiwe kuu la msingi,walio thabiti kama kigingi cha hema,wenye nguvu kama upinde wa vita.

Zekaria 10

Zekaria 10:1-12