Yoshua 15:52-54 Biblia Habari Njema (BHN) Walipewa pia miji ya Arabu, Duma, Eshani, Yanimu, Beth-tapua, Afeka, Humta, Kiriath-arba (yaani Hebroni) na Siori