Yoeli 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hapo, ewe Israeli,utajua kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,nakaa Siyoni, mlima wangu mtakatifu,Yerusalemu utakuwa mji mtakatifu;na wageni hawatapita tena humo.

Yoeli 3

Yoeli 3:9-21