Yoeli 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wakati huo, milima itatiririka divai mpya,na vilima vitatiririka maziwa.Vijito vyote vya Yuda vitajaa maji;chemchemi itatokea nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu,na kulinywesha bonde la Shitimu.

Yoeli 3

Yoeli 3:9-21