Yoeli 3:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni;sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu;mbingu na dunia vinatetemeka.Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake,ni ngome ya usalama kwa Waisraeli.

Yoeli 3

Yoeli 3:12-19