Yeremia 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama kisima kinavyohifadhi maji yake yakabaki safi,ndivyo Yerusalemu unavyohifadhi uovu wako.Ukatili na uharibifu vyasikika ndani yake,magonjwa na majeraha yake nayaona daima.

Yeremia 6

Yeremia 6:5-11