Yeremia 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema:“Kateni miti yake,rundikeni udongo kuuzingira Yerusalemu.Mji huu ni lazima uadhibiwe,maana hamna lolote ndani yake ila dhuluma.

Yeremia 6

Yeremia 6:5-8