Zuieni watu wasipande mbegu Babuloni,wala wasivune wakati wa mavuno.Kutokana na upanga wa udhalimu,kila mmoja atawarudia watu wakekila mmoja atakimbilia nchini mwake.