Yeremia 50:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Upigieni kelele za vita pande zote,sasa Babuloni umejitoa ukamatwe.Ngome zake zimeanguka,kuta zake zimebomolewa.Ninalipiza kisasi juu ya BabuloniBasi jilipizeni kisasi,utendeeni kama ulivyowatenda wengine.

Yeremia 50

Yeremia 50:9-18