“Enyi nyote wapiga mishale stadi,shikeni nafasi zenu kuuzingira mji wa Babuloni;upigeni, msibakize mshale hata mmoja,maana umenikosea mimi Mwenyezi-Mungu.