Yeremia 50:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu,Babuloni haitakaliwa kabisa na watu,bali itakuwa jangwa kabisa;kila atakayepita karibu nayo atashangaaataizomea kwa sababu ya majeraha yake.

Yeremia 50

Yeremia 50:3-14