Yeremia 48:45 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakimbizi wachovu wanatua Heshboni kutaka usalama,maana moto umezuka huko mjini;mwali wa moto toka ikulu ya mfalme Sihoni;umeteketeza mipaka ya Moabu,umeunguza milima yao hao watukutu.

Yeremia 48

Yeremia 48:35-47