Ole wenu watu wa Moabu!Watu wa Kemoshi sasa mmeangamizwa,wana wenu wamechukuliwa mateka,binti zenu wamepelekwa uhamishoni.