Atakayetoroka kitishoatatumbukia shimoni;atakayetoka shimoniatanaswa mtegoni.Kwa maana nitaleta mambo hayo juu ya Moabu,katika mwaka wao wa adhabu.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.