Watasikia mshindo wa kwato za farasi,kelele za magari ya vita,na vishindo vya magurudumu yao.Kina baba watawasahau watoto wao,mikono yao itakuwa imelegea mno.