Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilisti wote,kukomesha msaada uliobakia kutoka Tiro na Sidoni.Maana Mwenyezi-Mungu anawaangamiza Wafilisti,watu waliosalia wa kisiwa cha Kaftori.