Yeremia 47:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Tazama! Maji yanapanda kutoka kaskazini,nayo yatakuwa mto uliofurika;yataifunika nchi nzima na vyote vilivyomo,mji na wakazi na wanaoishi humo.Watu watalia,wakazi wote wa nchi wataomboleza.

Yeremia 47

Yeremia 47:1-3