Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenidanganya,nami kweli nikadanganyika;wewe una nguvu kuliko mimi,nawe umeshinda.Kutwa nzima nimekuwa mtu wa kuchekwa,kila mtu ananidhihaki.