Yeremia 2:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi watu! Sikilizeni ninachosema mimi Mwenyezi-Mungu:Je, nimekuwa jangwa kwa Israeliau nchi yenye giza nene?Kwa nini basi watu wangu waseme:‘Sisi tu watu huru;hatutakuja kwako tena!’

Yeremia 2

Yeremia 2:26-33