Yeremia 2:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliwaadhibu watu wako bila kufanikiwa,wao wenyewe walikataa kukosolewa.Upanga wako uliwamaliza manabii wakokama simba mwenye uchu.

Yeremia 2

Yeremia 2:29-37