Yeremia 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)

“Unawezaje kusema, ‘Mimi si najisi;sijawafuata Mabaali?’Tazama ulivyotenda dhambi kule bondeni;angalia ulivyofanya huko!Wewe ni kama mtamba wa ngamia,akimbiaye huko na huko;

Yeremia 2

Yeremia 2:21-25