Yeremia 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)

kama pundamwitu aliyezoea jangwani.Katika tamaa yake hunusanusa upepo;nani awezaye kuizuia hamu yake?Amtakaye hana haja ya kujisumbua;wakati wake ufikapo watampata tu.

Yeremia 2

Yeremia 2:18-29