Wimbo Ulio Bora 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Nipige kama mhuri moyoni mwako,naam, kama mhuri mikononi mwako.Maana pendo lina nguvu kama kifo,wivu nao ni mkatili kama kaburi.Mlipuko wake ni kama mlipuko wa moto,huwaka kama mwali wa moto.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:1-14