Wimbo Ulio Bora 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni nani huyu ajaye kutoka mbugani,huku anamwegemea mpenzi wake?Chini ya mtofaa, mimi nilikuamsha,pale ambapo mama yako aliona uchungu,naam, pale ambapo mama yako alikuzaa.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:1-9