Wimbo Ulio Bora 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Maji mengi hayawezi kamwe kulizima,mafuriko hayawezi kulizamisha.Mtu akijaribu kununua pendo,akalitolea mali yake yote,atakachopata ni dharau tupu.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:1-10