Wimbo Ulio Bora 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Naingia bustanini mwangu,dada yangu, bi arusi.Nakusanya manemane na viungo,nala sega langu la asali,nanywa divai yangu na maziwa yangu.Kuleni enyi marafiki, kunyweni;kunyweni sana wapendwa wangu.

Wimbo Ulio Bora 5

Wimbo Ulio Bora 5:1-4