Wimbo Ulio Bora 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Nililala, lakini moyo wangu haukulala.Sauti ya mpenzi wangu anabisha hodi.“Nifungulie, dada yangu mpenzi wangu, bibiarusi wangu,hua wangu, usiye na kasoro.Kichwa changu kimelowa umandena nywele zangu manyunyu ya usiku.”

Wimbo Ulio Bora 5

Wimbo Ulio Bora 5:1-12